Warembo na UhuruRuto


Baathii kimama katika kaunti ya Mombasa wamejitokeza na kuuinga chama cha Jubilee ,huku wakionyesha msimamo  wao mkali kwakusema ya kuwa Mombasa si tena ngome ya ODM .




Haya yote yalitendeka  katika hafla iliyo fanyika katika  uwanja wa shule ya  star of the sea , huku wakikifungua chama  kipya cha kina mama Warembo na UhuruRuto.


Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog