Nani Alaumiwe ?
![]() |
| Wafanyaa biashara katika jimbo la Mombasa , wameandamana kulalamikia swala la bajeti iliotolewa na serikali kuu, huku kilio kikubwa kikiwa ni bei ya unga kupanda na garama za maisha kuongezeka . |
kutokana na bajeti hio, maisha ya mwanainchi wa kawaida imeonekana kugandamizwa huku sehemu tofauti za inch ikikumbana na baa la njaa na ukame, ilio sheheni baadhi ya kaunti inchini ikiwemo: Garisa , Turkana , Kajiando Bamba na Ganze.





Comments
Post a Comment