Njia ya Msalaba
Huku sherehe za pasaka zikisherekewa kwa njia tofauti tofauti ulimwenguni , wakrito katika madhehebu mbalimbali walijumuika makanisani , kusherekea kufa na kufufuka kwa yesu.
Kwa kanisa la kikatholiki mwelekeo wa ulikuwa wakitofauti, huku wakilazimika kutembea kwa mwendo mrefu na msalaba wakiashiria mpigo na mateso ya Bwana wao yesu kristo.

Comments
Post a Comment