Posts

Showing posts from April, 2017
Image
Moha kurai kura Hukuu kura za agosti  nane zikibisha hodi , wawaniaji katika vyma mbalimbali wanaingiwa na tumbo joto, nakulazimika  kujitosa katika kura za mchujo zinazoendelea humu nchini. Muhamed Ali ,   ambaye ni mwaniaji wa kiti cha eneo bunge la nyali jijini Mombasa , chini ya  chama  cha ODM  ameonekana kujipigia upato mkali katika  maeneo tofauti ya eneo  bunge la nyali ikiwemo ; kwa bulo , ziwalangombe , mbungoni na timboni .
Image
 Nani Alaumiwe ? Wafanyaa  biashara  katika  jimbo  la Mombasa ,  wameandamana  kulalamikia  swala la bajeti  iliotolewa  na serikali kuu, huku kilio kikubwa kikiwa  ni bei ya unga  kupanda  na garama za  maisha  kuongezeka . kutokana na bajeti  hio, maisha ya mwanainchi wa kawaida imeonekana kugandamizwa  huku sehemu tofauti za inch ikikumbana na  baa la njaa na ukame,  ilio sheheni baadhi ya kaunti  inchini  ikiwemo: Garisa , Turkana , Kajiando  Bamba na Ganze.
Image
Njia ya Msalaba  Huku sherehe za pasaka  zikisherekewa  kwa njia tofauti tofauti ulimwenguni , wakrito  katika madhehebu mbalimbali walijumuika makanisani , kusherekea  kufa na kufufuka kwa yesu. Kwa  kanisa la kikatholiki  mwelekeo wa ulikuwa wakitofauti, huku wakilazimika kutembea  kwa mwendo mrefu  na msalaba wakiashiria mpigo na mateso ya Bwana wao yesu kristo.
Image
Kiumbe Mautini Ilikuwa  kitendo cha kustumiwa baada ya mkaazi mmoja katika eneo la  Chalang’a kuikuta mzoga wa mototo mchaga akiwa ametupwa karibu na timbo.         Kitendo hiki kiliwashangaza wakaazi na kupelekea msako mkali kufanywa katika kitongoji hicho , huku vidole vya lawama vikielekezwa kwa wasichana wanao jihusisha na mapenzi pasi nakutumia kinga yeyote.Hata  hivyo kulingana na maojiano na wakazi,  wanasema kitendo hicho nicha  nne kujirudi katika timbo hilo.
Image
Warembo na UhuruRuto Baathii kimama katika kaunti ya Mombasa wamejitokeza na kuuinga chama cha Jubilee ,huku wakionyesha msimamo  wao mkali kwakusema ya kuwa Mombasa si tena ngome ya ODM . Haya yote yalitendeka  katika hafla iliyo fanyika katika  uwanja wa shule ya  star of the sea , huku wakikifungua chama  kipya cha kina mama Warembo na UhuruRuto.
Image
Njia ya Msalaba   Huku sherehe za pasaka  zikisherekewa  kwa njia tofauti tofauti ulimwenguni , wakrito  katika madhehebu mbalimbali walijumuika makanisani , kusherekea  kufa na kufufuka kwa yesu.  Kwa  kanisa la kikatholiki  mwelekeo wao ulikuwa wakitofauti, huku wakilazimika kutembea  kwa mwendo mrefu  na msalaba wakiashiria mpigo na mateso ya Bwana wao yesu kristo.