Moha kurai kura Hukuu kura za agosti nane zikibisha hodi , wawaniaji katika vyma mbalimbali wanaingiwa na tumbo joto, nakulazimika kujitosa katika kura za mchujo zinazoendelea humu nchini. Muhamed Ali , ambaye ni mwaniaji wa kiti cha eneo bunge la nyali jijini Mombasa , chini ya chama cha ODM ameonekana kujipigia upato mkali katika maeneo tofauti ya eneo bunge la nyali ikiwemo ; kwa bulo , ziwalangombe , mbungoni na timboni .
Posts
- Get link
- X
- Other Apps
Nani Alaumiwe ? Wafanyaa biashara katika jimbo la Mombasa , wameandamana kulalamikia swala la bajeti iliotolewa na serikali kuu, huku kilio kikubwa kikiwa ni bei ya unga kupanda na garama za maisha kuongezeka . kutokana na bajeti hio, maisha ya mwanainchi wa kawaida imeonekana kugandamizwa huku sehemu tofauti za inch ikikumbana na baa la njaa na ukame, ilio sheheni baadhi ya kaunti inchini ikiwemo: Garisa , Turkana , Kajiando Bamba na Ganze.
- Get link
- X
- Other Apps
Njia ya Msalaba Huku sherehe za pasaka zikisherekewa kwa njia tofauti tofauti ulimwenguni , wakrito katika madhehebu mbalimbali walijumuika makanisani , kusherekea kufa na kufufuka kwa yesu. Kwa kanisa la kikatholiki mwelekeo wa ulikuwa wakitofauti, huku wakilazimika kutembea kwa mwendo mrefu na msalaba wakiashiria mpigo na mateso ya Bwana wao yesu kristo.
- Get link
- X
- Other Apps
Kiumbe Mautini Ilikuwa kitendo cha kustumiwa baada ya mkaazi mmoja katika eneo la Chalang’a kuikuta mzoga wa mototo mchaga akiwa ametupwa karibu na timbo. Kitendo hiki kiliwashangaza wakaazi na kupelekea msako mkali kufanywa katika kitongoji hicho , huku vidole vya lawama vikielekezwa kwa wasichana wanao jihusisha na mapenzi pasi nakutumia kinga yeyote.Hata hivyo kulingana na maojiano na wakazi, wanasema kitendo hicho nicha nne kujirudi katika timbo hilo.
- Get link
- X
- Other Apps
Warembo na UhuruRuto Baathii kimama katika kaunti ya Mombasa wamejitokeza na kuuinga chama cha Jubilee ,huku wakionyesha msimamo wao mkali kwakusema ya kuwa Mombasa si tena ngome ya ODM . Haya yote yalitendeka katika hafla iliyo fanyika katika uwanja wa shule ya star of the sea , huku wakikifungua chama kipya cha kina mama Warembo na UhuruRuto.
- Get link
- X
- Other Apps
Njia ya Msalaba Huku sherehe za pasaka zikisherekewa kwa njia tofauti tofauti ulimwenguni , wakrito katika madhehebu mbalimbali walijumuika makanisani , kusherekea kufa na kufufuka kwa yesu. Kwa kanisa la kikatholiki mwelekeo wao ulikuwa wakitofauti, huku wakilazimika kutembea kwa mwendo mrefu na msalaba wakiashiria mpigo na mateso ya Bwana wao yesu kristo.