Moha kurai kura
Hukuu kura za agosti nane zikibisha hodi , wawaniaji katika vyma mbalimbali wanaingiwa na tumbo joto, nakulazimika kujitosa katika kura za mchujo zinazoendelea humu nchini.
Muhamed Ali , ambaye ni mwaniaji wa kiti cha eneo bunge la nyali jijini Mombasa , chini ya chama cha ODM ameonekana kujipigia upato mkali katika maeneo tofauti ya eneo bunge la nyali ikiwemo ; kwa bulo , ziwalangombe , mbungoni na timboni .
Comments
Post a Comment