Kiumbe Mautini


Ilikuwa  kitendo cha kustumiwa baada ya mkaazi mmoja katika eneo la  Chalang’a kuikuta mzoga wa mototo mchaga akiwa ametupwa karibu na timbo.

       

Kitendo hiki kiliwashangaza wakaazi na kupelekea msako mkali kufanywa katika kitongoji hicho , huku vidole vya lawama vikielekezwa kwa wasichana wanao jihusisha na mapenzi pasi nakutumia kinga yeyote.Hata  hivyo kulingana na maojiano na wakazi,  wanasema kitendo hicho nicha  nne kujirudi katika timbo hilo.

Comments

Popular posts from this blog